Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumatano, Januari 20, 2021 Local time: 13:56

COVID-19 : NANI MSAIDIZI KATIKA JAMII YAKO ?


COVID-19 : NANI MSAIDIZI KATIKA JAMII YAKO ?
please wait

No media source currently available

0:00 0:02:03 0:00

Tuma jina la mtu unayempendekeza. Pia jina lako na namba yako ya simu kupitia anwani hii : (voaleaders@voanews.com)

VOA ITAWASILIANA NA WEWE

Mwandishi wa VOA atawasiliana na wewe kupata maelezo zaidi juu ya mtu uliyempendekeza. Tuko pamoja katika kukabiliana na janga hili.

Pendekeza jina la kiongozi huyo katika jamii yako.

Waenzi watu wa kawaida wanaofanya mambo mazuri yasiyo ya kawaida.
Sauti ya Amerika (VOA) inakuhamasisha kutufahamisha watu wa kawaida ambao wameonyesha vipaji vya uongozi katika jamii yako wakati wa janga hili la virusi vya corona.
Hawa ni majirani zako, wafanyakazi wenzako na marafiki zako, wanaoonyesha mfano namna ya mtu anavyoweza kuwasaidia wengine.
Hawa ni wafanyakazi wa afya, waalimu, wanafunzi, wamiliki wa maduka, wanaharakati katika jamii, viongozi wa dini, wasanii, na wanajamii wanaojitolea.

Vipi nitaweza kumpendekeza mtu?

Tuambie kile kilicho kupendeza zaidi kuhusu unaye mpendekeza na mchango wake katika jamii yako.

Facebook Forum

XS
SM
MD
LG