Wanariadha wa Kenya wanaendelea kuwika katika Michezo ya Riadha Duniani huko Bejing ambapo siku ya Jumatano Julius Yego alinyakua medali ya dhahabu katika kurusha mkuki alipourusha mkuki wake umbali wa mita 92.78. Na katika mbiyo za mita 3 000 kuruka viunzi wanawake, Mkenya Hyvin Kiyeng Jepkemoi alitumia muda wa dakika 9:19:11 na kuchukua dhahabu ya pili kwa Kenya katika siku ya tano ya mkicehzo hiyo.
Wakenya wawika katika Michezo ya Riadha Duniani Bejing
Makundi
- Afrika
- Marekani
- Afya
- Hali ya HIV/Ukimwi Afrika
- Uchaguzi Kenya 2013
- Kesi za Wakenya Mbele ya ICC
- Fainali za Kombe la Afrika 2015
- Ziara ya Rais Obama Kenya, Julai 23-26
- Tanzania Yaamua 2015
- Uchaguzi Marekani 2016
- Ziara ya Papa barani Afrika
- Uchaguzi Uganda 2016
- Mauaji Orlando
- YALI 2016
- Rio 2016
- AFCON 2017