Upatikanaji viungo

Matukio ya Dunia

Ajira ya watoto barani Afrika


Pale nchi za kiafrika kusini mwa jangwa la Sahara zinapoendelea kiuchumi, maendeleo mengi yanafanywa na watoto. Ajira ya watoto imeongezeka kote barani Afrika, na seriklali zinakabiliwa na changamoto kubwa katika kujaribu kupunguza na hatimae kutokomeza tatizo hilo.

XS
SM
MD
LG