Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumanne, Septemba 27, 2022 Local time: 20:10

Blinken akutana na Kagame, ajadili ripoti ya UN


Blinken akutana na Kagame, ajadili ripoti ya UN
please wait

No media source currently available

0:00 0:08:20 0:00

Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani Antony Blinken Alhamisi amefanya majadiliano na Rais wa Rwanda Paul Kagame ikiwa ni juhudi za kupunguza mivutano kati ya Rwanda na jirani yake Congo juu ya shutuma kwamba serikali zote mbili zimelaumiana kuwa kila mmoja anawaunga mkono waasi waupande mwengine.

XS
SM
MD
LG