Upatikanaji viungo

jeshi la chukua madaraka Thailand

Jeshi la Thailand lilitangaza mapinduzi ya utawala wa kidemokrasia baada ya vyama vya kisaisa kushindwa kutanzua tofauti kati yao juu ya utawala.
Onyesha zaidi

Waandishi habari wa Thailand na wa nchi za kigeni watizama tangazo la jeshi la mkuu wa majeshi kwenye televisheni, katika chumba cha habari cha Clubu ya jeshi la nchi kavu, bankok, Mei 22, 2014.
1

Wapinzani wa serikali wainua mkono wakiimba wimbo wa taifa mjini Bangkok, Mei 22, 2014.
2

Wanajeshi wazuia msafara wa magari ya mgeni aliyetaka kufika mkatika Klabu ya Jeshi muda mfupi baada ya jeshi kutangaza mapinduzi. Mei  22, 2014, Bangkok, Thailand.
3

Mwanajeshi wa Thailand ajiweka katika hali ya ulinzi nyuma ya lori la kijeshi ndani ya uwanja wa Klabu ya Jeshi muda mfupi baada ya kutangazwa mapinduzi Mei22, 2014.
4

Pandisha zaidi

Makundi

XS
SM
MD
LG