Maharamia nchini Somalia wameteka meli ya mizigo ya uturuki iliyokuwa na wafanyakazi 21 ndani yake. Rais Mwai Kibaki na Waziri mkuu Raila Odinga wanatarajiwa kukutana na wafuasi wao leo kujadili mambo mbalimbali yatakayopelekea muswada katika bunge.