Bunge la Kenya limefunguliwa tena hivi leo na Rais Kibaki baada ya mkutano wa faragha na Waziri Mkuu Raila Odinga kuhusu shughuli za serikali katika Bunge.