Print
Serikali ya Kenya imekiri kwamba Serikali ya Nigeria imemrejesha Kenya mhubiri wa kiislamu kutoka Jamaica ambaye alisafirishwa hadi nchini Gambia.