Upatikanaji viungo

Breaking News
Ijumaa, Machi 29, 2024 Local time: 18:15

Profesa: Sababu zinazopelekea uhamiaji hazijatiliwa mkazo kutatuliwa katika nchi za Kiafrika


Profesa: Sababu zinazopelekea uhamiaji hazijatiliwa mkazo kutatuliwa katika nchi za Kiafrika
please wait

No media source currently available

0:00 0:03:23 0:00

Profesa wa Sheria anaeleza kuwa bado visababishi vinavyo chochea uhamiaji bado havijatiliwa mkazo na mataifa mengi katika bara la Afrika.

Sababu hizo ikiwemo wale wanaokimbia migogoro na utawala mbovu, na kwa sababu maeneo jirani tayari yako katika taharuki, msikilize profesa anavyoeleza kuhusu fursa pekee mbadala ambayo wakimbizi wanayo...

XS
SM
MD
LG