Upatikanaji viungo

Breaking News
Ijumaa, Aprili 19, 2024 Local time: 09:35

Shirika la ufadhtili latahadharisha upungufu wa chakula Somalia


Shirika la ufadhtili latahadharisha upungufu wa chakula Somalia
please wait

No media source currently available

0:00 0:04:22 0:00

Shirika la ufadhili la Uingereza, Save The Children, linasema uvamizi wa nzige, hali mbaya ya hewa na uhaba wa mvua vitasababisha mamilioni ya wananchi wa Somalia kutokuwa na chakula cha kutosha mwaka 2021.

XS
SM
MD
LG