No media source currently available
Rais wa Zanzibar Hussein Mwinyi amemuapisha Makamu wa Kwanza wa Rais wa serikali ya kitaifa Zanzibar Othman Masoud Othman apishwa kuchukua nafasi iliyoachwa wazi na Maalim Seif Sharif Hamad aliyefariki dunia.