Upatikanaji viungo

Breaking News
Ijumaa, Machi 29, 2024 Local time: 17:10

Marekani kuwachukulia hatua walio wakamata raia wake


Marekani kuwachukulia hatua walio wakamata raia wake
please wait

No media source currently available

0:00 0:03:27 0:00

Waziri wa Mambo ya Nje asema kuwa huenda Marekani ikawawekea vikwazo wale walio husika kuwakamata raia wa Marekani mjini Hong Kong huku Beijing ikitangaza kulipiza kisasi.

-Australia inaihimiza China kuruhusu maafisa wa WHO kuingia kuchunguza sehemu ambapo virusi vya corona vilijitokeza mwanzoni mwa mlipuko wa COVID-19.

-Malalamiko na maandamano dhidi ya mauaji ya Washia wa kabila la Hazara nchini Pakistani yaliofanywa na wanamgambo wa Islamic State siku ya Jumapili yameenea nchi nzima.
XS
SM
MD
LG