Upatikanaji viungo

Breaking News
Alhamisi, Machi 28, 2024 Local time: 17:21

Hali ilivyokuwa Jumanne kituo cha kupiga kura Arlington, Virginia siku ya uchaguzi mkuu Marekani

Uchaguzi Marekani wafikia kileleni Jumanne ambapo wananchi wamejitokeza kukamilisha zoezi la kupiga kura katika majimbo mbalimbali, katika uchaguzi utakao amua nani atakuwa rais ajaye wa Marekani.

Mwandishi wa Sauti ya Amerika BMJ Muriithi amepiga picha hizi wakati alipokuwa akiripoti katika kituo cha kupiga kura cha Central Library mjini Arlington, Jimbo la Virginia, akituonyesha mandhari ya kituo cha kupiga kura na jinsi wapigaji kura walivyokuwa wakitekeleza haki yao ya kikatiba kwa utulivu.

Pandisha zaidi

Makundi

XS
SM
MD
LG