Upatikanaji viungo

Breaking News
Ijumaa, Machi 29, 2024 Local time: 16:25

Polisi Kenya wadaiwa kuwaua watu watatu katika maandamano


Polisi Kenya wadaiwa kuwaua watu watatu katika maandamano
please wait

No media source currently available

0:00 0:00:55 0:00

Polisi wafyatua risasi katika maandamano ya bodaboda yaliokuwa yanapinga mwenzao kukamatwa na kusababisha vifo vya watu watatu.

XS
SM
MD
LG