Upatikanaji viungo

Breaking News

Wauingereza wameanza kupiga kura kwenye uchaguzi mkuu


Wauingereza wameanza kupiga kura kwenye uchaguzi mkuu
please wait

No media source currently available

0:00 0:01:14 0:00

Wapiga kura wa Uingereza wameanza kupiga kura mapema leo kwenye uchaguzi mkuu wa mapema ambao huenda ukaleta suluhisho kwenye mgogoro kuhusu kujiondoa kwenye umoja wa ulaya walioidhinisha kupitia kura ya maoni 2016.

XS
SM
MD
LG