Upatikanaji viungo

Breaking News
Alhamisi, Januari 21, 2021 Local time: 05:49

Waziri Mkuu Ahmed alishinda tuzo ya amani ya Nobel


Waziri Mkuu Ahmed alishinda tuzo ya amani ya Nobel
please wait

No media source currently available

0:00 0:02:07 0:00

Makundi ya wanamgambo na nguvu za kijeshi ulimwenguni vyote ni tishio kwa amani na uthabiti wa pembe ya Afrika, waziri mkuu wa Ethiopia Abiy Ahmed amesema hivi leo Jumanne baada ya kupokea tuzo ya amani ya nobel kwa kusukuma mbele mkataba wa amani na Eritrea.

XS
SM
MD
LG