Duniani Leo October 29, 2019
Mahakama ya Afrika ya haki za Binadamu ameyataka mataifa ya Afrika kutoa nafasi kwa vyombo vya habari kufanya kazi zao kwa uhuru. Mkutano wa kila mwaka wa uwekezaji wa kimataifa ambao unahudhuriwa na wafanyabiashara na wanasiasa wa ngazi za juu, umeanza hii leo mjini Riyadh, Saudi Arabia
Facebook Forum