Chama tawala cha Botswana cha BDP kimepata ushindi katika uchaguzi mkuu kwa kupata viti 29, ikiwa sawa na asili mia 51 ya viti vyote vya bunge. Nchi za SADC ziliazimia kwa pamoja kutoa matamko ya kuzitaka jumuiya ya Ulaya na Marekani kuiondolea Vikwazo Zimbabwe.
Facebook Forum