No media source currently available
Rais Emmanuel Macron wa Ufaransa yuko visiwani Mayotte kwa zaira ya siku nne, yenye lengo la kuzungumzia masuala ya uhamiaji haramu, usalama na uwekezaji.