No media source currently available
Waziri mkuu wa Canada Justine Trudeau ameshinda muhula mwingine wa uongozi kwenye uchaguzi mkuu wa nchi hiyo huku chama chake cha Liberal kikijinyakulia viti vingi.