Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumatatu, Januari 25, 2021 Local time: 20:10

Vijana wasio na ajira waandamana Nairobi


Vijana wasio na ajira waandamana Nairobi
please wait

No media source currently available

0:00 0:01:49 0:00

Vijana waliohitimu masomo ya shahada katika vyuo vikuu tofauti, waliofutwa kazi, na wale ambao huu ndio mwezi wao wa mwisho kufanya kazi katika mashirika tofauti, wameandamana jijini Niarobi kuonyesha hasira yao dhidi ya serikali kwa ukosefu wa ajira.

XS
SM
MD
LG