Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumatatu, Januari 25, 2021 Local time: 20:21

Washington Bureau


Washington Bureau
please wait

No media source currently available

0:00 0:05:00 0:00

Wiki hii mamia ya wanaharakati walindamana Washington D.C. kulazimisha wabunge wachukua hatua ya mabadiliko ya hali ya hewa. Na jimbo la California limepata mfanyakazi mpya katika jeshi lake la polisi ambaye sio binaadamu, California itakuwa jimbo la kwanza kuwa na polisi wa roboti.

XS
SM
MD
LG