No media source currently available
Waziri mkuu wa Uingereza Boris Johnson amesisitiza kwamba hataomba mda Zaidi kwa Uingereza kujiondoa umoja wa Ulaya. Na mzozo wa kidemokrasia kati ya Kenya na Somali wajadiliwa kwenye mkutano wa baraza kuu la umoja wa mataifa.