No media source currently available
Vyama vya upinzani nchini Uingereza vinamtaka waziri mkuu Boris Johnson kujiuzulu . Na Viongozi kutoka zaidi ya mataifa 150 wanahudhuria mkutano wa 74 wa baraza kuu la umoja wa mataifa unaofunguliwa rasmi hii leo, mjini New York, hapa Marekani.
Ona maoni
Facebook Forum