Upatikanaji viungo

Breaking News

Kabendera arudishwa tena mahabusu


Kabendera arudishwa tena mahabusu
please wait
Embed

No media source currently available

0:00 0:01:15 0:00

Mwandishi wa habari Erick Kabendera ataendelea kukaa mahabusu mpaka mwezi ujao ambapo kesi yake itatajwa tena kutokana na kutokamilika kwa uchunguzi. Leo Kabendera amefikishwa mahakamani jijini Dar es salaam huku bado akionekana kutembea kwa shida kutokana na kuugua.

XS
SM
MD
LG