Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumapili, Januari 29, 2023 Local time: 16:04

Mwili wa Mugabe kurudishwa Zimbabwe kwa Mazishi wiki hii


Mwili wa Mugabe kurudishwa Zimbabwe kwa Mazishi wiki hii
please wait

No media source currently available

0:00 0:01:21 0:00

Mwili wa aliyekuwa rais wa Zimbabwe Robert Mugabe, unatarajiwa kuwasili katika uwanja wa kimataifa wa Robert Mugabe, mjini Harare, Zimbabwe, jumatano wiki hii. Mugabe, aliaga dunia ijumaa wiki iliyopita akiwa na umri wa miaka 95, akipokea matibabu nchini Singapore.

XS
SM
MD
LG