Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumamosi, Februari 27, 2021 Local time: 12:48

Kuna matumaini makubwa ya kukabiliana na Ebola DRC


Kuna matumaini makubwa ya kukabiliana na Ebola DRC
please wait

No media source currently available

0:00 0:02:12 0:00

Kuna matumaini makubwa ya maafisa wa afya katika Jamhuri ya kidemokraisIa ya Congo – DRC, kukabiliana na mlipuko wa ugonjwa wa Ebola, kufuatia chanjo mpya. Maafisa wanasema kiwango cha maambukizi na vifo kimepungua, tangu chanjo dhidi ya ebola ianze kutolewa.

XS
SM
MD
LG