Duniani Leo July 31, 2019
Maafisa katika Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo wamethibitisha kutokea kesi ya pili ya ugonjwa wa Ebola katika mji wa Goma. Na wagombea urais kupitia chama cha Democrat Marekani walifungua raundi ya pili ya mdahalo mjini Detroit, Michigan, kwa mfululizo wa mashambulizi dhidi ya rais Donald Trump.
Matukio
-
Desemba 23, 2020
Malori ya Uingereza yazuiwa kuingia Ufaransa
-
Desemba 18, 2020
Kilichopatikana miaka 10 baada ya mapinduzi ya nchi za Kiarabu
-
Desemba 12, 2020
Wakimbizi waongezeka katika mji wa Pemba kaskazini mwa Msumbiji
-
Desemba 11, 2020
Rais Mteule wa Marekani Joe Biden amtangaza waziri wa ulinzi
Facebook Forum