No media source currently available
Swala la Elimu limekuwa muhimu sana kati ya wagombea wa urais wa chama cha democratic, mwaka 2020, hasa wanapotafuta uungaji mkono wa wapiga kura vijana hapa Marekani. Lakini elimu sio swala pekee linalotiliwa mkazo Zaidi na vijana hao.
Ona maoni
Facebook Forum