Upatikanaji viungo

Breaking News

Duniani Leo July 19, 2019


Duniani Leo July 19, 2019
please wait
Embed

No media source currently available

0:00 0:30:00 0:00

Wanafamilia wa watu waliofariki katika ajali ya ndege ya shirika la ndege la Ethiopia Max 737 wamesikilizwa na bunge la Marekani. Baraza la mpito la kijeshi la Sudan limeanza kuondoa wanajeshi wake tangu jana katika maeneo waliyokuwepo kwenye mji mkuu wa Khartoum kwa takriban zaidi ya miezi mitatu

XS
SM
MD
LG