Duniani leo July 3, 2019
Utawala wa rais Donald Trump, umeachana na mipango yake ya kuweka swali la uraia kwenye sensa ya Marekani ya mwaka ujao. Takriban wahamiaji 40 wengi kutoka Afrika wamekufa na wengine 80 wamejeruhiwa katika shambulizi la anga kwenye kiituo cha wafungwa karibu na mji mkuu wa Libya – Tripoli.
Matukio
-
Januari 25, 2021
#Wochit : Zijue athari kubwa za mabadiliko ya virusi vya Corona
-
Januari 21, 2021
Sherehe za kuapishwa Joseph Biden Rais wa 46 wa Marekani
-
Januari 16, 2021
Timu ya watafiti kutoka WHO ikiwasili Wuhan
-
Desemba 23, 2020
Malori ya Uingereza yazuiwa kuingia Ufaransa
-
Desemba 18, 2020
Kilichopatikana miaka 10 baada ya mapinduzi ya nchi za Kiarabu
Facebook Forum