Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumanne, Januari 19, 2021 Local time: 16:55

Wauguzi wa Ebola kupewa msaada wa ulinzi


Wauguzi wa Ebola kupewa msaada wa ulinzi
please wait

No media source currently available

0:00 0:02:45 0:00

Mashirika ya kiraia, makanisa, vijana na wanawake huko Kivu kaskazini mashariki mwa Congo wamekubali kusindikiza maafisa wa shirika la afya duniani- WHO na wale wa wizara ya afya DRC katika juhudi za kupambana na Ebola ambayo imewaua watu zaidi ya Elfu moja na wengine kuambukizwa

XS
SM
MD
LG