Upatikanaji viungo

Breaking News
Ijumaa, Oktoba 23, 2020 Local time: 11:51

Duniani Leo June 20, 2019


Duniani Leo June 20, 2019
please wait

No media source currently available

0:00 0:29:59 0:00

Leo June 20 ni siku ya wakimbizi duniani, ingawa ulimwengu unaadhimisha siku ya wakimbizi katika kambi ya Dadaab nchini Kenya baadhi ya wakimbizi wanasema hawana sababu ya kuadhimisha siku hii. Na Somalia imesema nchi hiyo ni salama na wananchi wake kurudi kusaidia katika ujenzi wa taifa hilo.

XS
SM
MD
LG