Duniani Leo June,19 2019
Mvutano kati ya Marekani na Iran umezidisha hali ya wasi wasi, baada ya Marekani kutangaza kunapeleka wanajeshi elfu moja zaidi huko Mashariki ya kati. Rais Donald Trump amekuwa na mazungumzo mazuri na rais wa china Xi Jimping, kuhusu biashara kabla ya mkutano wa G20 wa Japan wiki ijayo.
Matukio
-
Januari 21, 2021
Sherehe za kuapishwa Joseph Biden Rais wa 46 wa Marekani
-
Januari 16, 2021
Timu ya watafiti kutoka WHO ikiwasili Wuhan
-
Desemba 23, 2020
Malori ya Uingereza yazuiwa kuingia Ufaransa
-
Desemba 18, 2020
Kilichopatikana miaka 10 baada ya mapinduzi ya nchi za Kiarabu
Facebook Forum