Chama cha Muslim Brotherhood cha aliyekuwa rais wa zamani wa Misri Mohamed Morsi kimetoa wito wa kufanyika uchunguzi wa kimataifa kufuatia kifo cha Mosri hapo jana. Madaktari wa Kivu Kaskazini mashariki mwa Congo wanaendelea na mgomo wakidai malimbikizo ya mishahara yao ya miezi minane
Facebook Forum