Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumatano, Novemba 25, 2020 Local time: 08:09

Timu ya Philadelphia Union yawapa mafunzo wachezaji kutoka Afrika


Timu ya Philadelphia Union yawapa mafunzo wachezaji kutoka Afrika
please wait

No media source currently available

0:00 0:02:12 0:00

Moja ya timu za kulipwa za soka zinafuata mpango wa klabu za Ulaya kwa kufadhili mafunzo ikijumuisha ya wachezaji wachanga, baadhi yao wakiwa kutoka barani Afrika.

XS
SM
MD
LG