Upatikanaji viungo

Breaking News

Mgomo wa kutofanya wafanyakazi ni ishara ya ushindi


Mgomo wa kutofanya wafanyakazi ni ishara ya ushindi
please wait
Embed

No media source currently available

0:00 0:04:19 0:00

Chama cha wafanyakazi wenye uweledi cha Sudan, SPA kilichoongoza maandamano yaliyo muondoa rais Omar Al Bashir, kinadai ushindi baada ya wakazi wengi wa Sudan kuitikia wito wao na kubaki nyumbani na kutokwenda kazini.

XS
SM
MD
LG