Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumatano, Oktoba 21, 2020 Local time: 22:39

Maandamano ya kupinga matokeo ya uchaguzi yafanyika Malawi


Maandamano ya kupinga matokeo ya uchaguzi yafanyika Malawi
please wait

No media source currently available

0:00 0:02:51 0:00

Wafuasi wa upinzani wa Malawi waliokasirishwa na kuchaguliwa tena kwa rais Peter Mutharika wamepambana na polisi , waliotumia gesi ya machozi kutawanya maandamano yanayopinga ushindi wa Mutharika.

XS
SM
MD
LG