Upatikanaji viungo

Breaking News

Duniani Leo June 10 2019


Duniani Leo June 10 2019
please wait
Embed

No media source currently available

0:00 0:29:59 0:00

Chama cha wafanyakazi wenye uweledi cha Sudan, SPA, kinadai ushindi baada ya wakazi wengi wa Sudan kuitikia wito wao na kubaki nyumbani na kutokwenda kazini. Wafuasi wa upinzani wa Malawi wamepambana na polisi , kwa madai ya kutoridhishwa na matokeo ya uchaguzi wa uraisi wa nchi hiyo.

XS
SM
MD
LG