Duniani Leo June 7 2019
Baraza la amani na usalama la umoja wa Afrika limeisimamisha Sudani katika shughuli za umoja huo hadi pale serikali ya mpito ya kiraia itakapoundwa. Waziri mkuu wa uingereza Theresa May amejiuzulu rasmi kama kiongozi wa chama cha Conservative. Mrithi wake inatarajiwa kufanyika wiki ijayo
Matukio
-
Januari 16, 2021
Timu ya watafiti kutoka WHO ikiwasili Wuhan
-
Desemba 23, 2020
Malori ya Uingereza yazuiwa kuingia Ufaransa
-
Desemba 18, 2020
Kilichopatikana miaka 10 baada ya mapinduzi ya nchi za Kiarabu
-
Desemba 12, 2020
Wakimbizi waongezeka katika mji wa Pemba kaskazini mwa Msumbiji
Facebook Forum