Upatikanaji viungo

Breaking News

Duniani Leo May 31st, 2019


Duniani Leo May 31st, 2019
please wait
Embed

No media source currently available

0:00 0:30:00 0:00

Gazeti la Korea kusini linaripoti kwamba Pyongyang, iliwaua maafisa waliosaidia kuandaa mkutano wa pili kati ya kiongozi wa Korea kaskazini Kim Jong Un na rais Donald Trump.China imeituhumu Marekani kusema uongo , Pia Beijing ikijitayarisha kuongeza ushuru kwa bidhaa za Marekani ikiwemo mvinyo.

XS
SM
MD
LG