Duniani Leo May 30, 2019
Wabunge wa Marekani wamegawanyika baada ya mwendesha mashtaka maalum Robet Mueller kutoa ufafanuzi wa ripoti yake. Na Bunge la Israel limepiga kura ili kujifuta lenyewe na kuandaa uchaguzi wa mapema kwa mara ya pili, baada ya waziri mkuu Benjamin Netanyahu kushindwa kuunda serikali ya muungano.
Facebook Forum