Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumanne, Januari 19, 2021 Local time: 03:13

Mzozo wa kuunda serikali waibuka Israel


Mzozo wa kuunda serikali waibuka Israel
please wait

No media source currently available

0:00 0:03:11 0:00

Israel inakabiliwa na mzozo wa kisiasa baada ya waziri mkuu Benjamin Netanyahu kushindwa kuunda serikali ya muungano, tangu kushinda uchaguzi mkuu mwezi uliopita.

XS
SM
MD
LG