Vituo vya kupigia kura vimefunguliwa mapema leo huko Malawi wakati wananchi wanachagua rais na wabunge. Muasisi wa kampuni kuu ya teknolojia ya china Huawei Ren Zhengfei anasema serikali ya Marekani inafanya makosa kupuuzia uwezo wa kiteknolojia wa kampuni hiyo.
Facebook Forum