No media source currently available
Waislamu nchini Kenya wanaendelea na mfungo wa mwezi mtukufu wa Ramadhani kufuatana na kalenda yao. Katika mwezi huu wanafanya juhudi za kipekee kuungana na wengine katika jamii na kuwasaidia wale wenye uhitaji.
Ona maoni
Facebook Forum