Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumamosi, Januari 23, 2021 Local time: 10:54

Chama cha ANC chaongoza kwa kura za awali Afrika ya Kusini


Chama cha ANC chaongoza kwa kura za awali Afrika ya Kusini
please wait

No media source currently available

0:00 0:01:11 0:00

Zoezi la kuhesabu kura nchini Africa Kusini linaendelea huku chama cha ANC cha aliyekuwa rais wa kwanza mweusi wa nchi hiyo Nelson Mandela kikionyesha ishara nzuri ya kushinda. Katika asilimia 76 ya kura zilizohesabiwa Rais Cyril Ramaphosa ana asilimia 57 ya kura.

XS
SM
MD
LG