Upatikanaji viungo

Breaking News

Mabadiliko ya hali ya hewa na madhara yake


Mabadiliko ya hali ya hewa na madhara yake
please wait
Embed

No media source currently available

0:00 0:03:49 0:00

Tanzania kama nchi inayotegemea maliasili kwa sehemu kubwa katika shughuli za kijamii na kiuchumi, ina jukumu kubwa la kuhakikisha utunzaji wa mazingira na kuyafanya kuwa endelevu ili kuendelea kunufaika nayo sasa na hata vizazi vijavyo

XS
SM
MD
LG