Upatikanaji viungo

Breaking News

Duniani Leo April 26th, 2019


Duniani Leo April 26th, 2019
please wait
Embed

No media source currently available

0:00 0:30:00 0:00

Tanzania yanusurika na kimbunga Keneth ambacho kilibadilisha muelekeo kwa kuelekea nchi ya Msumbiji. Huduma za umeme na usafiri vimekatika katika jimbo la Cabo Delgado. Rais wa China Xi Jinping ameapa kufutilia mbali ruzuku zinazotolewa na kampuni za China ambayo inazuia ushindani wa biashara.

XS
SM
MD
LG