Duniani Leo April 23, 2019
Watu watatu wamekufa baada ya mgodi wa machimbo ya Moram yalioko kaskazini mwa Tanzania kuporomoka. Ajali hiyo ilitokea alfajiri ya kuamkia jumanne, sababu ya maporomoko hayo bado haijatambuliwa. Kundi la wanamgambo la Islamic state limetai kuhusika na milipuko ya mabomu yaliotokea Sri Lanka
Facebook Forum