Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumanne, Machi 02, 2021 Local time: 17:15

Duniani Leo April 2, 2019


Duniani Leo April 2, 2019
please wait

No media source currently available

0:00 0:29:30 0:00

Waathirika wa kimbuga Idai kutoka wa Beira wanasema hali bado ni tete, kutokana na mlipuko wa ugonjwa wa kipindupindu pamoja ukosefu na huduma za kijamii bado hazijarudi kwenye hali ya kawaida. Tanzania imekuwa nchi ya kwanza barani Afrika kuanza kutumia mashine za kisasa za kutibu saratani.

XS
SM
MD
LG